Mwenyekiti
wa Chama Cha Albino Tanzania Bwana Ernest Kimaya akimkaribisha Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa
Kilimanjaro(KIA) muda mfupi baada ya kuwasili leo jioni.Rais Kikwete
atakuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya siku ya kimataifa wa Albino
itakayofanyika katika uwanja wa michezo wa Sheikh Amri Abeid.kushoto no
Bwana Godson Molel mwenyekiti wa Chama cha Albino Mkoa wa Arusha.
(picha na Freddy Maro)
No comments:
Post a Comment