TAFUTA CHOCHOTE NDANI YA NKEMA

Wednesday 11 December 2013

FNB JIJINI JOBERG RAISI KIKWETE NA MAMA SALMA WAHUDHURIA HAFLA YA KUTOA HESHIMA ZAO ZA MWISHO KWA MWILI WA MAREHEMU NELSON MANDELA


 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Mama Salma Kikwete wakati wa hafla ya Kumbukumbu ya Mzee Nelson Mandela Uwanja wa FNB jijini Johannesburg Jumanne Novemba 10, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha Rais Barack Obama wa Marekani kwa viongozi mbalimbali wa Afrika wakati wa hafla ya Kumbukumbu ya Mzee Nelson Mandela Uwanja wa FNB jijini Johannesburg Jumanne Novemba 10, 2013PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment