Vilevile zipo DVD ama VCD za wakubwa ambazo kwa kiasi kikubwa kama utakuwa umeweka vibaya basi ni rahisi mtoto kuichukua na kuitizama huku akijifunza kile anachokiona. Ni muhimu kwa wazazi kuweka mbali na watoto picha ama video za matusi ambazo hazimjengi mtoto bali inasababisha Mmomonyoko wa maadili ambapo ni UGONJWA UNAO HATARISHA USTAWI WA NCHI.
Ni jukumu la kila mmoja kwa nafasi yake kuanzia viongozi wa dini, familia na hata ngazi mbalimbali za serikali kuhakikisha Tanzania yenye maadili inajengwa. FUTA DELETE KABISA PICHA AMBAZO HAZINA MAADILI KWA WATOTO. WEKA MBALI NA WATOTO.
BY ADELA
|
No comments:
Post a Comment