TAFUTA CHOCHOTE NDANI YA NKEMA

Saturday 14 December 2013

DARAJANI MLALAKUWA MIKOCHENI JIJINI DAR, AJALI MBAYA YATOKEA



Ajali imetokea majira ya asubuhi ya leo katika daraja la Mlalakuwa, Mikocheni jijini Dar ambapo gari hiyo Inayoonekana kuharibika vibaya ilitumbukia katika mto huo na kusababisha kifo cha Mtu mmoja ambaye anaonekana akielea juu ya maji.Picha Kwa Hisani ya Kajunason Blog

No comments:

Post a Comment