TAFUTA CHOCHOTE NDANI YA NKEMA

Monday, 7 October 2013

DK. ASHA-ROSE MIGIRO AMKARIBISHA WAZIRI WA CHINA HI PING JIJINI DAR LEO.


 Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Dk.Asha-Rose Migiro akimkaribisha Naibu Waziri katika Idara ya Kimataifa ya Chama Cha Kikomunisti cha China Hi Ping ambaye amewasili nchi   kuhudhuria Mkutano wa Sita wa Vyama Vya Ukombozi Afrika utakaofanyika tarehe 9 Oktoba 2013 Kunduchi mjini Dar es salaam.
Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa  Dk.Asha-Rose Migiro akizungumza na Naibu Waziri katika  Idara ya Kimataifa ya Chama Cha Kikomunisti Hi Ping mara tu alipowasili nchini kwa kuhudhuria mkutano wa sita wa Vyama vya Ukombozi.

No comments:

Post a Comment