tangaza hapa
TAFUTA CHOCHOTE NDANI YA NKEMA
Sunday, 16 August 2015
Kongamano la wajasiriamali kufanyika Mwanza tarehe 26/09/2015 katika ukumbi wa BOT
Jumuiya ya Wanawake wajasiriamali Tanzania (Tanzania Business Entrepreneurs Women) inakuletea kongamano la wajasiriamali litakalofanyika mkoani MWANZA, tarehe 06/09/2015 katika ukumbi wa benki kuu capripoint(B. O. T) ,kongamano hilo litashirikisha wajasiriamali mbali mbali watakaouza na kutangaza bidhaa zao. Pia kutakuwa na mafunzo ya namna ya kukuza mtaji mdogo na mbinu nyingi za kukuza biashara yako. Wajasiriamali wote wanakaribishwa ambapo kiingilio kitakuwa:
Mafunzo pekee na chakula sh.30,000,
Meza ya kuuza bidhaa pekee sh.20,000,
Mafunzo na Meza sh. 50,000,
Kwa mawasiliano zaidi tupigie namba. 0754032589/ 0756334078/ 0673032589.
WOTE MNAKARIBISHWA.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment