TAFUTA CHOCHOTE NDANI YA NKEMA

Thursday, 30 October 2014

RAIS MHE. DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE AKIWASILI NCHINI LEO.

unnamed
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange (kushoto) leo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius K. Nyerere pamoja na baadhi ya viongozi wengine mara baada ya kumaliza ziara yake ya kikazi nchini China na Vietnam.

No comments:

Post a Comment