Askofu
wa Kanisa Katoliki Jimbo la Kigoma, Joseph Mlola akipongezwa na Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Rais (Asie na Wizara Maalum), Prof Mark Mwandosya
alimwakilisha Rais Jakaya Kikwete kwenye ibada ya kusimikwa kwa askofu
huyo iliyofanyika katika Kanisa Kuu Katoliki Kigoma, jana. Na
Mpigapicha wetu
No comments:
Post a Comment