Picha ,hii imepigwa juma-mosi Oktoba,2014 ikiwaonyesha wana-ndoa wa jinsia moja wakiwa wamekaa mkao maalumu kwa ajili ya kupigwa picha (pose), mara baada ya kufunga ndoa ,Inslington London,Natalie Banner (kushoto)bwana harusi na Elyisia Rose Johnson (kulia bibi harusi),ndoa za jinsia moja kati ya mwana ume kwa mwanaume, mwanamke kwa mwanamke,zimeenea katika nchi nyingi hasa zilizoendelea baada ya kipindi kirefu ,hata hivyo hivi karibuni nchini marekani ,Mahakama moja ya juu imekataa kupitia upya hukumu iliyotolewa miaka ya nyuma ya kupiga marufuku ndoa ya jinsia moja iliyotolewa miaka ya,bado katika baadhi ya majimbo nchini Marekani haya-ruhusu ndoa za jinsia moja.
No comments:
Post a Comment