Mshiriki pekee aliyebaki katika mashindano ya kusaka vipaji Afrika Mashariki kutoka Tanzania Elisha Maghiya(Hisia) akiwa katika jukwaa la Tusker Project Fame msimu wa sita nchini Kenya.
Mshiriki wa Tusker Project Fame msimu wa sita kutoka Tanzania Hisia(katikati) akiwa na washiriki wenzake katika gari la kifahari wakifurahia jambo kulia kwake ni Amosi kutoka Kenyana Kojjo kutoka Uganda na kushoto kwake ni Nyambura kutoka Kenya na Daisy kutoka Uganda.
Hisia kutoka Tanzania(kulia) na Kojjo kutoka Uganda wakiwa katika picha ya pamoja
No comments:
Post a Comment