Mkuu
wa Mkoa Mjini Mgharibi Maalim Abdalla Mwinyi Khamis ambae alikuwa
Mwenyekiti wa mkutano wa Mpango wa kuandaa ramani ya mji wa Zanzibar
akizungumza na washiriki wa mkutano huo.Picha na Makame Mshenga-Maelezo
Zanzibar.
Baadhi ya washiriki wa mkutano uliojadili mpango wa kuandaa ramani ya
Mji wa Zanzibar wakifuatilia maelezo yaliyotolewa kwenye mkutano huo
katika Hoteli ya Marumaru.
Mshauri mwelekezi kutoka kampuni ya Shapira Hellerman ya Israel, Jos Hellerman akitoa taarifa ya ramani ya Mji wa Zanzibar katika mkutano uliozungumzia mpango wa kuandaa matumizi bora ya ardhi katika Hoteli ya Marumaru, Shangani Mjini Zanzibar. Mkurugenzi Mipango Miji na vijiji Muhammad Juma akitoa maelezo kwa washiriki wa mkutano wa kuandaa ramani ya Mji wa Zanzibar uliofanyika Hoteli ya Marumaru, Shangani
No comments:
Post a Comment