TAFUTA CHOCHOTE NDANI YA NKEMA

Thursday, 16 October 2014

MAWAKILI WA KAMPUNI YA UWEKEZAJI WA VIP ENGINEERING AND MARKETING LIMITED WATEMBELEA HIFADHI ZA TAIFA ZA SERENGETI NA NGORONGORO

Simba akiwa amelala katika Hifadhi ya Taifa ya  Serengeti.

Mawakili wa Kampuni ya Uwekezaji ya VIP 
Engineering and Marketing Limited kutoka Marekani 
na Uholanzi wakijiandaa na safari ya kwenda hifadhini.
Mkurugenzi wa kampuni ya VIP Bernadicta Rugemalira 
(kulia), akipata chakula na mawakili hao.






 Tembo akikatisha barabara katika Hifadhi ya Taifa  Serengeti
 Simba akiwa na mtoto wake katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti.
Mshauri wa Kimataifa wa Kujitegemea wa Kampuni ya VIP, James Rugemalira (kushoto), akiwa na mmoja wa maofisa wa kampuni hiyo, Joe Mgaya.
Watalii kutoka nchi mbalimbali wakiwa kwenye geti la kuingia Hifadhi ya Ngorongoro kabla ya kuruhusiwa kuingia hifadhini.

Mwanahabari wa Mtandao wa 
www. habari za jamii.com- Dotto Mwaibale,
akimpiga picha simba (hayupo pichani), aliyelala 
kando ya barabara katika hifadhi hiyo.
Mawakili hao wakiwa katika picha ya pamoja na 
wenyeji wao.
Mkurugenzi wa kampuni ya VIP Bernadicta Rugemalira 
(wa pili kushoto) akifurahia jambo pamoja na 
wageni wake
 Nyati wakiwa kando ya mto uliopo jirani na Hoteli ya 
Kitalii ya Sopa katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti.
 Mwandishi wa Kituo cha Televisheni cha Channel Ten, jijini Arusha, Jamila Omary aliyekuwepo kwenye msafara huo ni kama anasema ' hawa inzi aina ya mbung'o binafsi wananikera humu mbugani'
Wanahabari waliongoza na mawakili hao. Kutoka kulia ni Faustine Kapama wa Daily News, Jamila Omary wa Channel Ten, Arusha, Dotto Mwaibale, Jambo Leo na Dotto wa Arusha.
Mmoja wa maofisa wa kampuni ya VIP, Joe Mgaya 
akichukua matukio. Kulia ni mtoto wa wakili kutoka 
Uholanzi, Philip Camilo.

 Mmoja wa maofisa wa kampuni ya VIP, Resipius 
Didace akiwa akitafakari jambo kuhusu safari hiyo.

Ndege nao walikumbukwa na mapochopocho.
 Pundamilia wakivinjari katika hifadhi hiyo.
 Fisi akinyonyesha watoto wake.
 Maofisa wa Kampuni ya VIP wakipata chakula kabla ya
 kuendelea na safari.
 Msafara huo ukiwa umesimama kwa muda ndani ya 
hifadhi ya Serengeti kabla ya kuendelea na safari.

MAWAKILI WA KAMPUNI YA UWEKEZAJI WA VIP ENGINEERING AND MARKETING LIMITED WATEMBELEA HIFADHI ZA TAIFA ZA SERENGETI NA NGORONGORO 
 Watalii wakimpiga picha simba katika hifadhi ya Serengeti.
Simba jike akiwa amelala na mtoto wake katika Hifadhi 
ya Taifa ya Serengeti.

Na huyu naye alinaswa akiwa amepozi juu ya mti 
katika hifadhi hiyo

Twiga wakivinjari kwa maringo katika hifadhi hiyo.
Tembo wakiwa katika hifadhi hiyo. Imeandaliwa na 

No comments:

Post a Comment