Mti ulioanguka nakuchomwa moto miaka 3 iliyopita sasa wainuka nakusimama ,Wananchi wakaamua kuukata nakuchukua vipande vya mti huo kwaimani za kishirikina{kizimba}.Na maajabu mengine yakatokea ulipo malizwa mti nakubaki shimo nandani ya shimo pakawa navitu vya thamani pesa nyingi,pingu zamjeruman n.k.Vilivyo tumiwa na watu wazamani.wananchi hao wakachukua nakufanya shimo hilo kubaki jeupe,Nahapo ndipo shimo hilo lilipo amua kuanza kulia kama binadamu.
No comments:
Post a Comment