TAFUTA CHOCHOTE NDANI YA NKEMA

Tuesday 17 December 2013

MKUTANO WA TANZANIA NATIONAL BUSINESS COUNCIL(TNBC) WAFUNGULIWA RASMI NA RAIS JAKAYA KIKWETE


 Rais Dkt .Jakaya Mrisho Kikwete akiteta jambo na Mwenyekiti wa Tanzania Private Sector Foundation (TPSF) Dkt. Reginald Mengi wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa TNBC uliofanyika katika Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam jana. Kulia ni Waziri Mkuu Mizengo Pinda.
 Rais Jakaya Kikwete, akifungua rasmi Mkutano wa TNBC uliofanyika katika Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam jana.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa bodi ya Tanzania National Business Council muda mfupi kabla ya ufunguzi wa Mkutano wa TNBC uliofanyika katika hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam jana.Picha na Freddy Maro-IKULU

No comments:

Post a Comment