Askari kanzu katika jitihada za kuwatawanya waandamanaji.
wakazi wakiwa na mabango kuashiria kutaka matuta baada ya kutokea kwa ajali iliyosababishwa kifo cha mwanafunzi wa shule kufariki leo
Kamanda Engelbert Kiondo (wa pili kulia) akipokea maelekezo kutoka kwa mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa Kizuiani, Mashaka Selemani (wa kwanza kushoto).
Kamanda wa Polisi mkoa wa Kipolisi Temeke, Engelbert Kiondo (wa tatu kulia) akiwa katika eneo la tukio.
wakazi wakiwa na mabango kuashiria kutaka matuta baada ya kutokea kwa ajali iliyosababishwa kifo cha mwanafunzi wa shule kufariki leo
polisi wa usalama akiwatuliza wananchi walioshikwa na Hasira mbagala leo |
baadhi ya wakazi awakiwa wameweka mawe kuzuiia magari yasipite baada ya mwanafunzi kugongwa na kufariki leo mbagala |
No comments:
Post a Comment