TAFUTA CHOCHOTE NDANI YA NKEMA

Wednesday 23 October 2013

TAARIFA NA OMBI; MAENDELEO YA MIPANGO YA MAZISHI YA MARTHA SHANI

 


Picture
Marehemu bi. Martha akiwa na Mumewe Alex pamoja na Watoto wao Jose na Chris
Ndugu Watanzania, bado tunahitaji msaada wenu wa hali na mali ili kuwezesha kusafirisha mwili wa bi. Martha Shani mpendwa mke wake Alex Kassuwi aliyefariki ghafla siku ya Jumamosi, Oktoba 19, 2013.

Kutoa ni moyo na chochote utakachoweza kitasaidia na hatimaye kuwezesha safari hii ndefu ya kumpeleka marehemu katika mapumziko kwenye nyumba yake ya milele Tanzania.

Tungependa kuwajulisha kuwa Jumuiya ya Watanzania DMV imepata punguzo la gharama (discount) za kumsafirisha marhemu na familia yake ambapo kwa sasa kiasi kinachohitajika ni $16,500. Fedha zilizopatikana hadi sasa ni $7,420. Bado
Picture
Martha Shani (1976 - 2013)
tunahitaji $9,080.

Tafadhali tuma rambirambi zako kupitia akaunti ifuatayo:- # 446030759150 BANK OF AMERICA, MD.
  • ROUTING # 052001633
  • Majina ya kwenye akaunti ni ALEX KASSUWI & FAITH ISINGO
  • Cheki zindikwe kwa Alex Kassuwi au Faith Isingo.

Pia unaweza kutoa rambirambi zako kwa kufika nyumbani kwa marehemu ambako ndiko msiba uliko. Anwani ni:
482 ARWELL CT FREDERICK, MD, 21703.

Au unaweza kuwasiliana moja kwa moja na wanakamati hapo chini na kumueleza ulipo ili aweze kukusanya mchango wako:-

  1. Tino Malinda -240-565-7133
  2. Dickson Mkama - 301-661-6207
  3. Mariam Mtunguja - 240-422-1852
  4. Quizella Ntagazwa - 240-602-5011
  5. MV Mtunguja- 240-593-0575
  6. Victor Marwa - 240-515-6436
  7. Faith Isingo - 240-705-1055
  8. Julius Manase-240-393-8445

UKISOMA UJUMBE HUU TAFADHALI MTAARIFU NA MWENZIO, WAJIBU HUU NI WETU SOTE NA KWA PAMOJA TUNAWEZA

HAKUNA KIDOGO PALIPO NA NIA. NA HAKUNA KIKUBWA PALIPO NA UMOJA.


Source: http://www.wavuti.com

No comments:

Post a Comment