Maunda Zorro akiimba jukwaani ndaniya tamasha la serengeti fiesta usiku huu ndani ya uwanja wa Mkwakwani mkoani Tanga.
Christina Bella akiwaimbisha mashabiki wake.
Mashabiki wakifuatilia yanayojiri jukwaani usiku huu.
Sehemu ya wakazi wa mji wa Tanga waliojitokeza kwa wingi usiku huu kwenye tamasha la serengeti fiesta 2013 ndani ya uwanja wa mkwakwani mkoani Tanga
Msanii wa hip hop anaekuja juu katika anga ya muziki huo,Stamina akiimba jukwaani
Pamoja na manyunyu ya mvua kusumbua sumbua hapa uwanjani,lakini mashabiki wala hawakutaka kubanduka uwanjani hapa usiku huu.
Msanii Neylee akiimba kwa hisia jukwaani.
MKali kutoka shindano la BSS,Walter Chilambo akiwaimbisha mashabiki wake-
Watu kibao usiku huu.
Pichani kati ni msanii Ally Nipishe akiwa na madansa wake jukwaani
mashabiki kutoka kila kona walikuwepo.
Mashabiki wakishangwekwa vilivyo usiku huu.
Godzilla akikamua mbele ya mashabiki wake.
Linah akicheza na shabiki wake jukwaani-
Shilole na madansa wake wakilishambulia jukwaa kwa pamoja huku miluzi na mayowe ikiwa imetawala kila kona ya uwanja.
Gea Habib na mdau wake wakilifuatilia jukwaa la fiesta vilivyo yaliyokuwa yakijiri.
BY MICHUZI
BY MICHUZI
No comments:
Post a Comment