TAFUTA CHOCHOTE NDANI YA NKEMA

Friday, 23 January 2015

NKEMA READING CLUB INAFUNGULIWA TAREHE 07/FEB/2015 MLETE MWANAO AJUMUIKE NA WATOTO WENZAKE KWA GHARAMA NAFUU

Vitabu vinapatikana kwa lugha za Kiswahili na Kingereza, mnakaribishwa sana NKEMA READING CLUB.Pia waalimu wazuri na wenye uzoefu watakuwepo.