TAFUTA CHOCHOTE NDANI YA NKEMA
WAWEKEZAJI ZAIDI YA 65 KUTOKA UBELIGIJI WAWASILI NCHINI TANZANIA KUANGALIA FURSA ZA UWEKEZAJI
Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji Dr. Diodorus Kamala akifafanua jambo kwa wawekezaji hao Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji Dr. Diodorus Kamala akihojiwa na waandishi wa habari kutoka kituo cha ITV ambao walifika katika mapokezi hayo.PICHA NA KIKOSI KAZI CHA FULLSHANGWE- JKN AIRPORT
No comments:
Post a Comment