TAFUTA CHOCHOTE NDANI YA NKEMA

Thursday, 2 October 2014

UMOJA WA VYUO VYA USAFIRI WA ANGA BARANI AFRIKA(AATO)TANZANIA YAWA MWENYEJI MKUTANO MKUU WA KWANZA


Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi , Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania, Mbwana . J. Mbwana akisalimiana na Rais wa Umoja wa Vyuo vya Usafiri wa Anga Barani Afrika(AATO) Tchagbele Sadamba  wakati wa  mkutano mkuu wa kwanza wa AATO  unaofanyika Zanzibar   kwa ajili ya kujadili mbinu za kuboresha  mafunzo ya usafiri wa anga barani Afrika. Katikati ni Mkurugenzi wa Idara ya Udhibiti Uchumi  Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA) 
04Baadhi ya wataalamu wa sekta ya  Usafiri wa Anga toka nchi ya Senegal  wakifuatilia kwa karibu mkutano  mkuu wa kwanza wa Umoja wa Vyuo vya Usafiri wa Anga Barani Afrika( AATO) unaofanyika mjini  Zanzibar  kwa ajili ya kujadili mbinu za kuboresha  mafunzo ya usafiri wa anga barani Afrika.Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania, Mbwana.  J. Mbwana (katikati)   akiwasikilza  wajumbe wa mkutano  wa AATO , baada ya kufungua mkuu wa kwanza wa Umoja wa Vyuo vya Usafiri wa Anga Barani Afrika( AATO) unaofanyika mjini  Zanzibar kwa ajili ya kujadili mbinu za kuboresha  mafunzo ya usafiri wa anga barani Afrika. Wengine  kutoka kushoto ni  mjumbe wa Bodi TCAA,  Yussuf . M. Ali, Mkurugenzi  Idara Udhibiti  Uchumi , TCAA, Dkt. James Diu , Rais wa AATO Tchagbele Sadamba  na   Mjumbe wa Bodi TCAA. Hanif.  M. Malik06Mkurugenzi  Idara ya Udhibiti Uchumi(TCAA) Dkt. James Diu , akitoa hotuba kwa wajumbe wa mkutano mkuu wa kwanza wa Umoja wa Vyuo Vya Usafiri wa Anga Barani Afrika(AATO)  unaofanyika mjini  Zanzibar kwa ajili ya kujadili mbinu za kuboresha mafunzo ya usafiri wa anga barani Afrika.07 Mgeni  rasmi  wa mkutano mkuu wa kwanza wa Umoja wa Vyuo vya Usafiri wa Anga Barani Afrika, Mbwana J. Mbwana (watano kutoka Kulia) akiwa  kwenye picha ya pamoja na wajumbe wa baraza  la  Umoja wa Vyuo vya Usafiri wa Anga Barani Afrika( AATO) unaofanyika mjini  Zanzibar  kwa ajili ya kujadili mbinu za kuboresha  mafunzo ya usafiri wa anga barani Afrika.08Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi,  Dkt.  Shabaan Mwinjaka(Kushoto) akifuatilia  moja ya mada zilizokuwa zikitolewa kwenye  mkutano  mkuu wa kwanza wa Umoja wa Vyuo vya Usafiri wa Anga Barani Afrika( AATO)  unaofanyika mjini  Zanzibar kwa ajili ya kujadili mbinu za kuboresha  mafunzo ya usafiri wa anga barani Afrika.

No comments:

Post a Comment