TAFUTA CHOCHOTE NDANI YA NKEMA

Friday, 3 October 2014

JESHI LA POLISI WAKAMATA SAMAKI WENYE SUMU BAHARI YA HINDI NA KUWATEKETEZA

Askari polisi na JWTZ wakiangalia samaki hao. 
Askari wa Jeshi la Wananchi Tanazania (JWTZ) , Kikosi cha Wanamaji (Navy), wakiandaa samaki waliowakamata baada ya kuvuliwa kwa kutumia baruti katika Bahari ya Hindi Dar es Salaam Oktoba 2-2014.


Samkai hao wakiandaliwa tayuari kwa kuteketezwa kwa moto.

 Samaki hao wenye sumu ya baruti.


Askari wa JWTZ wakiwa wamewabeba samaki hao wakiwapeleka kuwateketeza.


 Askari wa JWTZ akiweka majani makavu tayari kwa kuwateketeza samaki hao.

Samaki hao wakiteketezwa kwa moto.

No comments:

Post a Comment