TAFUTA CHOCHOTE NDANI YA NKEMA

Monday, 20 October 2014

Spika Makinda awasili Muscat Oman kwa ziara rasmi ya kibunge.

unnamed (69)
Mhe Spika Anne Makinda wakati akipokelewa uwanjani Mara baada ya kuwasili.
unnamed (67)
Mhe Spika wa Bunge Anne Makinda akiwa na Naibu Spika wa Majlis A’Shura Sheikh Abdullah Al Majaali aliyempokea katika uwanja wa ndege wa Muscat International Airport.

unnamed (68)
Mhe Spika akiwa na wenyeji wake pamoja na sehemu ya ujumbe wake.Wa kwanza Julia ni Kiongozi wa Upinzani Bungeni,Mhe Freeman Mbowe na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera Uratibu na Bunge),Mhe William Lukuvi.Wa kwanza kushoto ni Mhe Ally Saleh Balozi wa Tanzania nchini Oman. Mhe Spika yuko katika ziara rasmi ya kibunge ya siku sita.

No comments:

Post a Comment