TAFUTA CHOCHOTE NDANI YA NKEMA

Monday, 20 October 2014

MAITI YAOKOTWA KWENYE MAJI MACHAFU KARIBU NA KIWANDA CHA KAHAWA (COFFEE CURING), MKOANI KILIMANJARO

Maiti ya mwanaume huyo ukiwa umelazwa katika gari la Askari, baada ya kutolewa kwenye mfereji huo
Maiti ya Mwanaume anayekadirikiwa kuwa na Umri kati ya miaka 25-35, imeokotwa asubuhi ya leo katika Mfereji wa Maji ulioko jirani na kiwanda cha kukoboa Kahawa (Coffee Curing), maeneo ya Majengo Fire, wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro.
Baadhi ya wananchi wakishangaa maiti ya mwanaume huyo ambaye jina lake na wapi na chanzo cha kifo chake bado hakijajulikana
Huu ndio mfereji ambako mwili wa mtu asiyejulikana ulikokutwa leo asubuhi

 
Mwili hu ukipakizwa kwenye Gari 

 
Wananchi wakishiriki kuupakiza mwili huo kwenye gari la Polisi.PICHA NA DIXON BUSAGAGA

No comments:

Post a Comment