TAFUTA CHOCHOTE NDANI YA NKEMA

Sunday, 19 October 2014

KAMPUNI YA MABIBO BEER WINES AND SPIRITS LIMITED YASISITIZA UTII WA SHERIA BILA SHURUTI

 Mshauri wa Kimataifa wa Kujitegemea wa Kampuni ya Mabibo Beer Wines and Spirits Limited James Rugemalira akigongeana glass na wakili maarufu wa kampuni hiyo Michael Ngalo.  
 Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni hiyo Benadicta Rugemalira (Kulia) akiwa katika picha ya pamoja na wageni wake. Kushoto ni Mke wa wakili Camilo Schutte kutoka Uholanzi, Lize Schutte, Padri wa Kanisa Katoriki Parokia ya Himo, Fabian Nderumaki, Wakili Schutte na wakili kutoka Marekani, Chris Provenzano.
Katibu Mtendaji wa Kata ya Marangu Magharibi Rose Lyimo (anayeangalia kamera) akifurahia kinyaji bora cha windhoek na wageni wengine waalikwa.
Wadau mbalimbali wakibadilshana mawazo huku wakipata kinywaji bora cha Windhoek Draught.
Viongozi wa kampuni ya Mabibo na mawakili kutoka Ulaya na Marekani wakipata maelezo juu ya soko la bia aina ya Windhoek kutoka kwa Meneja Mkuu wa Nymbani Hotels and Resort Mansuetha Michael (hayupo pichani). 
Wadau mbalimbali wakibadilishana mawazo mara baada ya kupata maelezo kutoka kwa uongozi wa kampuni ya Mabibo namna ya kuzingatia sheria bila shuruti
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mabibo Benedicta Rugemalira akimwelekeza menwja nmkuu wa Nyumbani Hotels and Resort Mansuetha Michael namna ya kuitambua bia za Windhoek halali zinazotakiwa kuweko kwenye soko la Tanzania zenye namba MB66 

Mrembo wa hoteli ya AMEG Lodge Kilimanjaro Miriam Isumail akipeleka vinywaji vya windhoek kwa wateja. 
Mzee Rugemalira akitoa maelezo mafupi juu ya ubora wa bia ya Windhoek. 
Mrembo wa hoteli ya AMEG Lodge Kilimanjaro Miriam Isumail akiwa na mrembo mwenzie Modesta Dennis.

No comments:

Post a Comment