TAFUTA CHOCHOTE NDANI YA NKEMA

Thursday 12 December 2013

SHEREHE ZA MIAKA 50 YA UHURU WA KENYA RAIS KIKWETE AHUDHURIA LEO

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete(kulia) wakihudhuria sherehe za miaka 50 ya Uhuru wa Kenya zilizofanyika katika uwanja wa Michezo wa Kasarani mjini Nairobi leo.Kushoto ni Mwenyeji Rais Wa Kenya Uhuru Kenyatta.Watatu kushoto ni Naibu Rais Wa Kenya William Ruto,Watano Kushoto ni Waziri Mkuu wa Ethiopia Haile Mariam Desalegn, na Rais Pierre Nkurunzinza wa Burundi na mkewe.
(picha na Freddy Maro

No comments:

Post a Comment