TAFUTA CHOCHOTE NDANI YA NKEMA

Monday 14 October 2013

TANZANIA YAIANZA VIBAYA TUSKER PROJECT FAME 6. WAWAKILISHI WAKE WAWILI WAYAAGA MASHINDANO

 


Tanzania imepata pigo katika shindano la kuimba la ‘Tusker Project Fame msimu wa 6’ baada ya washiriki wake wawili Dubson na Tanah kuyaaga mashindano hayo Jana.
Fagio lililowaondoa Dubson na Tanah limempitia pia mshiriki wa Rwanda, Peace hivyo wote wameimaliza safari yao katika mashindano hayo.
Tanzania ilikua ikiwakilishwa na washiriki wanne, lakini sasa imebakiza washiriki wawili ambao Angella Karashani a.k.a Angel na Hisia

No comments:

Post a Comment