TAFUTA CHOCHOTE NDANI YA NKEMA

Thursday, 10 October 2013

MAITI YAKUTWA JIRANI NA CHUO CHA TUMAINI IRINGA

 

 



Askari wakiutoa mwili wa marehemu jana jioni  katika kichaka juu ya mawe ambapo ndipo ulipotupwa(Picha Na George Almas)

1394445_10202292646260399_1512056553_n_0241e.jpg
1382322_10202292644020343_203880468_n_4e33b.jpg
Askari wakiupakia mwili wa marehemu huku wananchi walio na huzuni wakishuhudia
(Picha Na George Almas)
1383296_10202292645820388_870340299_n_35dbe.jpg
Katika hali ya kuhuzunisha ni kwamba maiti iliyokuwa imewekwa ndani ya mfuko(kisalufeti) imekutwa imetupwa maeneo ya jirani kabisa na chuo kikuu cha Tumaini Iringa(University of Iringa). 
Mashuhuda wa tukio hilo wanasema kuwa maiti hiyo imeonekana baada ya kuhisi harufu mbaya ikitokeo jirani kabisa na makazi yao.Baada ya kuhisi harufu hiyo walianza kutaka kujua  harufu inatoka wapi na inatokana na nini ndipo walipo fika eneo hilo na kukuta mwili huo ukiwa ndani ya mfuko.
 Wananchi hao wanasema maiti hiyo imeharibiaka sana, lakini mpaka sasa haijajulikana kuwa maiti huyo ni nani.Baada ya kuona mwili huo wananchi walitoa taarifa polisi ambao walifika na kuuchukua mwili wa marehemu
 
 

 
BY Vituko vya mtaa

No comments:

Post a Comment