TAFUTA CHOCHOTE NDANI YA NKEMA
JE UNENEPAJI WA MSANII LULU MICHAEL UNAWEZA KUATHIRI KAZI ZAKE?
Hivi karibuni Muigizaji mkali wa Bongo Movies Lulu Michael amekua akionekana kuwa ameongezeka uzito, na pia maswali yamekua yakizuka kama itaathiri kazi zake za uigizaji… Na hivi karibuni mwana dada huyu alionekana katika Party ya Getaway iliyofanyika Bahari Beach siku ya jumamosi iliyopita na kupigwa picha akiwa na rafiki zake, Tazama Picha za muigizaji huyo na utoe maoni yako kama kuongezeka kwake kwa mwili kutaleta athari zozote …
Udaku Specially Blog
No comments:
Post a Comment