TAFUTA CHOCHOTE NDANI YA NKEMA

Sunday 27 October 2013

Huduma ya bure ya ushauri na tiba kwa wanafunzi na wazazi juu ya elimu, malezi n.k.

 

Picture

Adolescent Psychological Consultancy Services, nNi wataalamu waliobobea kwenye masuala ya 'psychological' na matatizo yake:

  1. Kwa vijana na wanafunzi wenye matatizo ya kusoma (learning difficulties)
  2. Hofu (anxiety) au woga wa kuongea kwenye hadhira au kufanya 'presentation'
  3. Elimu ya kupevuka (puberty education) kwa vijana wadogo
  4. Mbinu za kuwapa wazazi kwa ajili ya malezi (parenting skills orientation)

Puberty education, Learning difficulties therapy, Biopsychosocial/Screening/Assessment (Adults and Adolescents), Councelling (Individua and group), General health consultation,


Stress reduction, Referral services.

Mawasiliano/Our contacts:

Adolescent Psychological Consultancy Services (APCS),
P. O. Box 6469,
Haile Selassie Rd, Morogoro Store, OysterBay, 
Dar es Salaam,
Tanzania.

Mobile: 0713555729, 0754545586.
Email:i nfo@apcs.or.tz, mlengusi @yahoo.com
Website: www.apcs.or.tz
Facebook.com\apcstz
Twitter: @apcstanzania

Kwa sasa huduma hizi zinapatikana bure kwa ufadhili wa AMREF na SIDA kwenye kituo cha MYC Mwananyamala.

Njoo ukutane na madaktari wa akili na mwili, washauri wa elimu ya afya na mambo yahusuyo maisha kwa ujumla. BURE!

No comments:

Post a Comment