TAFUTA CHOCHOTE NDANI YA NKEMA
HONGERA BIBI BOMBA!!! BI MGENI IBRAHIMU AIBUKA MSHINDI WA BIBI BOMBA 2013.
Bi.Mgeni Ibrahimu (katikati) akiwa na wadhamini wa shindano la Bibi Bomba kutoka kampuni ya ‘Wazazi Nipendeni’ iliyo chini ya Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii’
Baadhi ya top 5 ya Bibi Bomba kabla ya kupatikana mshindi.
Mtangazaji (katikati) Babu wa Kitaa akiongea na Bi.Mgeni kabla ya kutangazwa mshindi, kulia ni Bi.Velonica Kayombo
Bi.Mgeni akifanya manjonjo yake mara baada ya kutangazwa mshindi.
No comments:
Post a Comment