TAFUTA CHOCHOTE NDANI YA NKEMA

Saturday, 5 October 2013

HATIMAE DADA WA MH.FREEMAN MBOWE AZIKWA LEO MAELFU YA WATU WAHUDHURIA MSIBA HUO

Umati mkubwa wajitokeza kumzika marehemu Grace Mbowe, dada yake mwenyekiti wa Chadema Mh.Freeman Mbowe.
 
 
 
Watoto wa marehemu Grace Mbowe wakizungumza jambo wakati wa mazishi ya mama yao
 
 
Wafanyakazi wenza na marehemu Grace Mbowe wakitoa salaam zao.
 
Mh. William Lukuvi akitoa salaam za rambirambi
 
Mbunge wa Karatu Mchungaji Yohana Natse akitoa salaam za rambirambi. kwa niaba ya wabunge wa Chadema.
 
 
 
 
Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi mkoani Kilimanjaro Idd Juma akimkabidhi Mh.Freeman Mbowe rambirambi toka ccm
 
 
 
Mbunge wa jimbo la Arusha mjini Mh.Godbless Lema akiteta jambo na mwanasheria Albert Msando wakati wa mazishi.
 
 
Mbunge wa jimbo la Moshi mjini akiongea na Mwenyekiti wa makampuni ya IPP Reginald Mengi.
 
 
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe akiweka shada la maua kwenye kaburi la dada yake marehemu Grace Mbowe.
 
Waziri wa nchi,ofisi ya waziri mkuu,Sera,uratibu na Bunge Mh.William Lukuvi akiweka shada la maua kwenye kaburi la dada yake Mh.Freeman Mbowe.
 
Mbunge wa jimbo la Arusha mjini Godbless Lema akiweka shada la maua kwenye kaburi la marehemu Grace Mbowe.
 
Mwenyekiti wa makampuni ya IPP Reginald Mengi akiweka shada la maua kwenye kaburi la marehemu Grace Mbowe.
 
 
 
Mbunge wa jimbo la Moshi mjini Philemon Ndesamburo akiongea na Mbunge wa zamani wa jimbo la Vunjo Aloyce Kimaro (Kulia) wakati wa mazishi ya dada yake Freeman Mbowe.
 
 
 
 
 
 
 
 
 

No comments:

Post a Comment