TAFUTA CHOCHOTE NDANI YA NKEMA
KAMPUNI YA SIMU ZA MKONONI TIGO YAWAWEZESHA WAENDESHA BODABODA JIJINI MWANZA
Madereva wa bodaboda wakitoka kwenye mafunzo ya kuwajengea uwezo yaliyoandaliwa na Tigo jijini Mwanza juzi na kujisajili kwenye mpango wa tigo kuwapa lita moja ya mafuta bure waongezapo lita tatu au zaidi kulipia kupitia Tigo Pesa.
No comments:
Post a Comment