Kila mwaka hufanyika shindano la upigaji picha la National History musium la London.Shindano hilo lilianza toka mwaka 1964 na huitwa Wildlife Photographer Of The Year.La upigaji picha mambo ya utalii na viumbe vya mwituni.N mwaka huu mshindi ni mtoto wa miaka 9 mwenye asili ya Hispania Carlos Perez.
Wazazi wa Carlos ni wasafiri wa mara kwa mara na hupenda kusafiri kuzunguka dunia kuangalia vivutio mbali mbali vya utalii.Katika safari zao wamekuwa wakiambatana nae toka ana miaka 4.Na alianza kupenda kupiga picha toka ana miaka hiyo 4.Shindano hilo ni lilihusisha vijana mpaka miaka 17 na Carlos kuibuka mshindi wa mwaka huu.Baadhi ya picha ndio hizo nilizoweka.
Wazazi kama inawezekana kusimamia na kusuport vipaji vya watoto wetu toka wadogo basi tufanye hivyo. Hatuwezi kujua Mungu amewapangia nini kupitia vipaji hivyo.
No comments:
Post a Comment