Waziri Mkuu, Mizengo PInda akihutubia wakati alipofungua semiana ya Jumuiya ya Tawala za Mitaa kwenye ukumbi wa hoteli ya Kunduchi jijini Dar e salaam Novemba 10, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya washiriki wa Semina ya Jumuiya ya Tawala za Mitaa, ALAT wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipofungua semina yao kwenye ukumbi wa hoteli ya Kunduchi Jijini Dar es salaam Novemba 10, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa Semina ya Jumuiya ya Tawala za Mitaa (ALAT) baada ya kufungua semina semina yao kwenye hoteli ya Kunduchi jijini Dar es slaama Novemba 10, 2014. Kushoto kwake ni Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mk,uu. Aggrey Mwanri na kulia kweke ni Mwenyekiti wa ALAT, Dr. Didas Masaburi, (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Aggrey Mwanri (wapili kulia), Mwenyekiti wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa, Dr. Didas Masaburi (kushoto) na Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuf Mwenda baada ya kufungua semina ya ALAT kwenye ukumbi wa hoteli ya Kunduchi jijini Dar es salaam Novemba 10, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment