Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete ambaye pia ni Mjumbe wa Halimashauri Kuu ya
Taifa (NEC) ya Chama cha Mapinduzi (CCM) akimsikiliza Mwenyekiti wa
Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Lindi , Mzee Ally Mtopa wakati alipowasili
Wilaya ya Nachingwea jana kwa ajili ya shughuli mbalimbali za chama
hicho.
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete ambaye pia ni Mjumbe wa Halimashauri Kuu ya
Taifa (NEC) ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ,akipokelewa jana na baadhi
ya viongozi wa Wilaya ya Nachingwea, wakiwemo viongozi wa Chama cha
Mapinduzi wakati alipowasili wilayani humo kwa ajili ya shughuli
mbalimbali za chama hicho.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete ,ambaye pia ni Mjumbe wa Halimashauri
Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama cha Mapinduzi (CCM) akivishwa skafu na
kijana wa chipukizi wa Chama cha Mapinduzi wakati alipowasili katika
wilaya ya Nachingwea kwa ajili ya shughuli mbalimbali za chama hicho.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akifurahia jambo jana na baadhi ya wana
Chama cha Mapinduzi mara baada ya kupokelewa katika Wilaya ya
Nachingwea jana wakati alipowasili wilayani humo kwa ajili ya shughuli
mbalimbali za chama hicho.
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete ambaye pia ni Mjumbe wa Halimashauri Kuu ya
Taifa (NEC) ya Chama cha Mapinduzi (CCM), akisalimiana jana na baadhi
ya wanachama wa CCM mara baada ya kupokelewa katika Wilaya ya

No comments:
Post a Comment