Kampuni
ya A&K HOLDINGS LTD mwishoni mwa wiki iliyopita ilizinduz kinyaji
cha Shuda Cocktails hafla iliyofanyika Novemba 1, 2014 katika hoteli ya
Serena jijini Dar es Salaam, kinywaji hicho kimetengenezwa kwa ufanisi
na kuchanganywa katika vipimo maalum ili kupata bidhaa zenye ladha nzuri
zinazolenga na kukubalika na matabaka yote ya wanywaji au watuamiaji wa
vileo. Ujazo wake ni 700ml. Bidhaa hii inazalishwa nchini Uingereza.
Meneja
Masoko ya Kinywaji cha Shuda Cocktails, Bernadetha Daudi akiongea
katika uzinduzi wa kinywaji huo mwishoni mwa wiki iliyopita Nobemba 1,
2014 katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Kampuni ya A&K HOLDINGS LTD ambao ni wasambazaji wa kinywaji cha Shuda Cocktails akiongea katika uzinduzi wa kinywaji hicho, halfa iliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita Novemba 1, 2014 katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam
No comments:
Post a Comment