Mkurugenzi wa Tigo kanda ya ziwa Ally Maswanya akizungumza na waendesha bodaboda mkoani Mwanza juzi wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo na mpango wa tigo kuwapa lita moja ya mafuta bure waongezapo lita tatu au zaidi na kulipia kupitia Tigo Pesa.Mkurugenzi wa Tigo kanda ya ziwa Ally Maswanya akizungumza na waendesha bodaboda mkoani Mwanza,juzi, wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo madereva wa Bodaboda na mpango wa tigo kuwapa lita moja ya mafuta bure waongezapo lita tatu au zaidi kulipia kupitia Tigo Pesa. Kushoto ni Mkuu wa Usalama Barabarani Mkoa wa Mwanza (RTO) Nuru SelemaniMadereva wa bodaboda wakitoka kwenye mafunzo ya kuwajengea uwezo yaliyoandaliwa na Tigo jijini Mwanza juzi na kujisajili kwenye mpango wa tigo kuwapa lita moja ya mafuta bure waongezapo lita tatu au zaidi kulipia kupitia Tigo Pesa.
No comments:
Post a Comment