Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, askari huyo alisababisha ajali hiyo wakati akiongoza magari baada ya kuita magari kutoka pande mbili kwa wakati mmoja.
Pichani raia wakimlazimisha askari huyo kuingia kwenye bajaji ili kumfikisha kituo cha polisi
No comments:
Post a Comment