TAFUTA CHOCHOTE NDANI YA NKEMA

Thursday 17 October 2013

MSAADA WA VITANDA NA MADAWATI YENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 12.6 WATOLEWA NA BENK YA NMB JIMBO LA KALENGA MKOA WA IRINGA

 

Meneja wa NMB kanda ya Nyanda za juu , Lucresia Makiriye akimkabidhi Mganga Mkuu wa Halmashauri Wilaya ya Iringa, Raymond Kiwone , sehemu ya msaada wa vitanda vya wodi ya wazazi uliotolewa na benki ya NMB.
Maafisa wa benki ya NMB wakiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa Halmashauri Wilaya ya Iringa baada ya makabidhiano hayo yaliyofanyika katika viwanja vya ofisi ya Halmashauri ya Iringa
Meneja wa NMB kanda ya Nyanda za juu Lucrecia Makiriye akimkabidhi Afisa Elimu wa Halmashauri Wilaya ya Iringa, Yusuph Mpwatile sehemu ya msaada wa madawati ya shule za msingi jimbo la kalenga .Msaada huo umetolewa na Benki ya NMB ili kusaidia katika juhudi za kupunguza uhaba wa madawati shuleni katika Mkoa wa Iringa.

No comments:

Post a Comment