Pages
Home
Ukurasa wa Vijana
Maisha
Ushauri
Picha
Mimi na Wewe
Burudani
Urembo
Wasiliana nasi
tangaza hapa
TAFUTA CHOCHOTE NDANI YA NKEMA
Thursday, 31 October 2013
Makosa 11 wayafanyayo wanaume waliooa
(picha: apartmenttherapy.com)
Laiti wanaume waliooa wangejua na kurekebisha makosa haya wayafanyayo kama yalivyochapishwa na
Fuledi
:-
Kutumia nguo nzuri au taulo la mwilini kufutia gari.
Kuingia ndani na viatu vya matope wakati kumeshadekiwa.
Kuvuruga nguo au vitu wakati wa kutafuta kitu kabla ya kuuliza kilipo.
Kuacha magazeti yanazagaa baada ya kuyasoma.
Kumleta rafiki yake kuja kula bila kutoa taarifa.
Kumsifia rafiki au ndugu wa mke wa kike kuwa anavutia bila hofu.
Kukosoa muonekano wa mke bila kujali atajisikiaje.
Kutosema chochote mke akipendeza mpaka aulize.
Kujifutia taulo na kuliacha ovyo bila kulianika.
Kutotandika bed mke asafiripo na kugeuza bed kama kiota cha ndege.
Kutofua boxer na socks zake hadi wife awepo na kama kasafiri zitasubiri arudi.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment