Rais Mstaafu wa Tanzania, Benjamin Mkapa leo ameizundua rasmi taasisi ya Let’s Read Tanzania inayojihsihusha na kuhamasisha wananchi wa rika zote desturi ya kusoma vitabu kwa manufaa ya kukuza na kuongeza maarifa. Uzinduzi huo umefanyika kwenye maktaba kuu jijini Dar es salaam. Tazama picha za uzinduzi huo.
Dancers kutoka THT wakitoa show katika uzinduzi huo
Faraja Kotta akizungumza katika uzinduzi huo
Rais mstaafu Benjamin W. Mkapa akiongoza majadiliano ya umuhimu ya kusoma vitabu
Benjamin W. Mkapa akisoma kitabu
Rais mstaafu Benjamin W. Mkapa akiwa na January Makamba
Rais mstaafu Benjamin W. Mkapa akiwasomea vitabu wanafunzi katika warsha ya Lets read Tanzania iliyofanyikia maktaba kuu Dar es salaam
Mkapa akizungumza na watu walioudhuria warsha ya uzinduzi wa Lets read Tanzania
Ulifika muda wa kugawana maarifa kwa njia ya kubadilisha vitabu
Wanafunzi wa Jangwani Secondary School wakiwa wamezawadiwa vitabu vya Nyota Yako kilichoandikwa na Nancy Sumari
Wanafuzi wa shule mbalimbali waliohudhuria uzinduzi huo
Kutoka kulia ni Rais mstaafu Benjamin W. Mkapa, akiongoza majadiliano ya umuhimu wa kusoma vitabu katika uzinduzi wa Let’s Read Tanzania
Majadiliano ya umuhimu wa kusoma vitabu yakiendelea
Mauzo ya vitabu mbalimbali yakifanyika
January Makamba alipata nafasi ya kubadilishana maarifa kwa njia ya vitabu
Miss Tanzania 2004 Faraja Kotta, akiwa katika uzinduzi Let’s Read Tanzania
Miss Tanzania 2005 na Miss World Africa, Nancy Sumari akiwa katika majadiliano yaliohusu umuhimu wa kusoma vitabu
Nancy Sumari akichangia mada ya umuhimu wa kusoma vitabu katika uzinduzi wa Let’s read Tanzania iliyofanyikia katika maktaba kuu Dar es salaam
Nancy Sumari akiwasainia vitabu vya Nyota Yako, wanafunzi
Picha ya pamoja ya Rais mstaafu Benjamin W. Mkapa, January Makamba na waanzilishi wa Let’s Read Tanzania
Rais mstaafu Benjamin W. Mkapa akibadilishana kitabu katika uzinduzi wa Let’s Read Tanzania
Kuhusu Let’s Read Tanzania
Let’s Read Tanzania is an initiative that started more by default than by design. It was the result of a Twitter discussion that Tanzanians were not reading, or at least not reading enough. The discussion was around how the reading culture had just disappeared. The main question was then what do we do! Initially a few of us started exchanging titles of books we had read, commented briefly on the books we liked and hey presto a movement had began.
Am always reminded of Malcolm Gladwell’s book Critical Mass and that once you get a certain critical mass around a certain issue, the dynamics will change. In this case there was much more discussion on books and reading on twitter, followed by the hashtag LetsReadTZ. There were more discussions about books and the need to inculcate a reading culture. It was felt that nobody could be forced to read but the aim should be to inspire Tanzanians to read and hence the Lets Read movement with this interactive website.
This platform will enable people to exchange books, pick their favourites, hold forum discussions and donate books. It
is my hope that we will use the Lets read platform to encourage all Tanzanians to read a bit more.
KARIBUNI
No comments:
Post a Comment