TAFUTA CHOCHOTE NDANI YA NKEMA

Sunday, 3 November 2013

Who ever thinks that money can buy happiness is an idiot

Picture
Read more secret posts at the Sunday Secrets blog.

Source: http://www.wavuti.com/#ixzz2jbS06Aug

Mwakyusa, Dk Mvungi wavamiwa na majambazi kwa nyakati tofauti

Picha zilizopachikwa hapo juu (bofya moja moja ili kuzikuza) zinatoka kwenye blogu ya Francis Dande "Habari Mseto" zikiambatana na habari ifuatayo kutoka kwa Hapiness Katabazi:

MJUMBE wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba nchini na mhadhiri mwandamzi wa Sheria wa Chuo Kikuu cha Bagamayo (UB), Dk. Sengondo Adrian Mvungi, saa saba usiku wa kuamkia leo amevamiwa na watu wasiyojulikana nyumbani kwake Kibamba nje
 kidogo ya jiji la Dar es Salaam na kumcharanga mapanga maeneo ya mwilini mwake ikiwemo sehemu za kichwani kwa madai kuwa watu hao wanaosadikiwa kuwa ni majambazi walikuwa wakimshinikiza awapatie fedha na Dk Mvungi alipowaambia hana fedha ndipo walipoanza kumcharanga mapanga.

Mtoto mkubwa wa Dk Mvungi, aitwaye Dk Natujwa Mvungi ambaye ni Mkuu wa Shule ya Sheria ya Chuo Kikuu cha Bagamoyo Dar es Salaam, saa nane usiku alimthibitishia mwandishi wa habari hizi kuwa ni kweli baba yakealivamiwa na kujeruhiwa na mapanga na watu wasiyojulikana.

Dk Natujwa anasema baada ya watu hao kumjeruhi baba yake na kufanikiwa kutoroka, wao walimchukua na kumkimbiza katika Hospitali ya Tumbi mkoani Pwani, na kupatiwa matibabu ya huduma ya kwanza na kisha kumkimbiza katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili ambapo alisema kwanza alipokelewa katika eneo la dharura na kisha saa kumi na moja asubuhi aliingizwa kwenye wodi ya Taasisi ya Mifupa MOI) kwa ajili ya matibabu.

------

Kisha gazeti la HabariLeo limechapisha taarifa ifuatayo: 


Mhadhiri wa Chuo cha Elimu ya Biashara Dar es Salaam (CBE), Emmanuel Mwakyusa amefanikiwa kuwasambaratisha majambazi saba aliopambana nao nyumbani.

Majambazi hao walimvamia nyumbani kwake eneo la Pugu jijini Dar es Salaam, ambapo  alifanikiwa kumuua mmoja, kati ya wawili aliowajeruhi. Tukio hilo lilitokea jana saa 8:30 usiku.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala, Marietha Minangi alithibitisha kutokea kwa tukio hilo.

Alisema Mwakyusa aliwajeruhi majambazi wawili kwa risasi, ambapo mmoja alikufa na mwingine alifanikiwa kukimbia.
Majambazi hao walimvamia Mwakyusa kwa lengo la kuiba mali nyumbani kwake. Hata hivyo, hawakufanikiwa kupora mali yoyote baada ya wawili hao kujeruhiwa, hivyo wengine kukimbia.

Kamanda Minangi alisema tayari watuhumiwa watatu, wameshakamatwa na upelelezi unaendelea ili kuwakamata wengine, waliohusika katika tukio hilo.

"Ni kweli tukio hilo limetokea na anadai walikuwa saba na mmoja alikuwa na bunduki, yeye pia alikuwa na silaha hivyo aliweza kujihami ambapo aliwajeruhi wawili mmoja kwa nje na mwingine aliyekuwa ameingia chumbani kwake," alisema Kamanda Minangi.

Alisema mmoja kati ya hao waliojeruhiwa, alikufa akiwa njiani kupelekwa  hospitalini, maiti amehifadhiwa katika Hospitali ya Amana.

Alisema majeruhi mwingine, alikamatwa asubuhi wakati amekwenda kuomba Fomu Maalumu ya Matibabu ya Polisi (PF3) katika kituo cha Polisi Gongo la Mboto.

"Alipofika kuomba PF3 alidanganya kuwa ameporwa pikipiki na majambazi  ambao walimjeruhi, lakini alitiliwa shaka na baada ya kuhojiwa zaidi alikiri kuhusika katika tukio hilo na akawekwa chini ya ulinzi, wengine wawili walikamatwa katika maeneo tofauti," aliongeza.

Kamanda Minangi alisema mahojiano yanafanyika kwa hao waliokamatwa, ili kubaini wengine waliohusika ili pia waweze kukamatwa na sheria kuchukua mkondo wake.

Alisema katika tukio hilo, Mwakyusa na familia yake hawakujeruhiwa wala kupata matatizo yoyote kutoka kwa majambazi hao.

Akizungumza kwa njia ya simu na mwandishi, Mwakyusa alisema, "Wakati wameshaingia ndani walikuwa wanajiita majina yenye vyeo sawa na vile vya jeshi au polisi. Walikuwa wanaitana komandoo, kamanda na mengine ambayo ni sawa na vyeo".

Saturday, 2 November 2013

GULIO LA VODACOM MAMIA WAJITOKEZA

Picture
Mamia ya wateja waliojitokeza katika Gulio "Vodacom Expo" lililofanyika katika viwanja vya makao makuu ya ofisi hizo Mlimani City jijini Dar es Salaam, kwa mara ya kwanza kampuni hiyo ilifanya Gulio hilo kwa kuuza bidhaa mbalimbali kwa bei nafuu ikiwa ni sehemu ya kutambua na kuthamini mchango kwa wateja wake.
*       Bidhaa zauzwa kwa punguzo la hali ya juu
*       Burudani kupamba maonesho hayo

Dar es Salaam Novemba 1 2013 Mamia ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam wamejitokeza katika Gulio la  mauzo ya bidhaa yaliyofanyika katika viwanja vya  Makao makuu ya Vodacom yaliyoko mlimani City jijini Dar es Salaam ambapo mamia ya bidhaa zimeuzwa kwa bei ya chini ikiwa ni sehemu ya kutambua na kuthamini mchango wa wateja wake.

Akizungumzia juu ya Gulio hilo Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Kelvin Twisa alisema, amefurahishwa na mwitikio wa wateja wa wakazi wa Dar es Salaam ambao  wamejitokeza kwa wingi katika siku hiyo huku 
akitanabaisha kuwa siku zote kampuni yake imekuwa mstari wa mbele kutoa huduma bora kwa wateja wake.

"Ninawapongeza sana wakazi wa Dra es Salaam amabao wamejitokeza kwa wingi katika maonesho haya tumeona namna ambvavyo wanaendelea kutuunga mkono,  juu mnada huu kuwa watajipatia bidhaa hizi zenye ubora wa hali ya juu na kwa bei nafuu, tulicho amua kukifanya ni kuwawezesha wateja wetu kununua bidhaa ambazo wamekuwa wakiziota kila siku kuzinunua kwa bei nafuu," alisema Twisaa na kuongeza kuwa.

"Sambamba na maonesho hayo pia kulikuwa na michezo ya watoto na chakula, hivyo wazazi wanaweza kuja pamoja na familia zao.

Twissa aliongeza kuwa "Ni kwa mara ya kwanza mnada huu mkubwa kufanyika nchini Tanzania, dhumuni ni  kuwawezesha wateja wetu kujipatia simu na vifaa vingine vya umeme kwa gharama nafuu na zenye punguzo la hali ya juu tofauti na zinavyouzwa madukani."
Picture
Mamia ya wateja waliojitokeza katika Gulio "Vodacom Expo" lililofanyika katika viwanja vya makao makuu ya ofisi hizo Mlimani City jijini Dar es Salaam, kwa mara ya kwanza kampuni hiyo ilifanya Gulio hilo kwa kuuza bidhaa mbalimbali kwa bei nafuu ikiwa ni sehemu ya kutambua na kuthamini mchango kwa wateja wake.

Tuliona ni vema kuwawezesha wateja wetu  na wale wasioweza kumudu gharama za moja kwa moja madukani ambazo zinakuwa ni bei ya juu tofauti na tutakavyo uza siku hiyo.

Mauzo na manunuzi ya bidhaa hizo yatafanyika papo kwa hapo siku ya mnada ambapo wateja wataweza kununua kwa fedha taslimu au kupitia njia ya M - PESA.

Maonesho hayo yataambatana si tu na mauzo ya bidhaa hizo pia kutakuwepo na chakula na michezo na burudani mbalimbali ambapo watu watakuwa wakijumuika pamoja. Ni siku nzuri kwa familia kujumuika pamoja, marafiki kukutana na kubadilishana mawazo na vilevile kujenga urafiki mpya wenye manufaa kwa wote.

Baadhi ya bidhaa ambazo zinauzwa siku ya mnada huo ni kama vile; Apple Ipad 2-64GB, Apple Ipad 2-32GB, Apple Ipad 2-16GB, Samsung Tablet 10.1, ZTE V9 Tablet, BB Playbook 64GB, BB Playbook 32GB, ZTE MF68-Mobile TV, Blackberry 9320, Blacberry 9630, Blackberry 9105, Samsung P520-GSM, Samsung i9003 Galaxy, Samsung i780-GSM, Nokia N97, Sony Ericson Experia, Huawei Phone-V720, Samsung N 150, Desktop Phone G201, K3805 HSDPA Data Car, K3565 HSDPA Data Car, K3570 HSDPA Data Car, Antenna for Router B, Sandisk SD 1GB, PHONE BATTERY 225, Charger V125 & V225, ZTE-Web Box, Router:E5331-Pocket na nyinginezo nyingi.

Mnada huo utafanyika kwa muda wa siku mbili mfululizo yaani kuanzia tarehe 2 na 3 ya siku za Jumamosi na Jumapili za mwezi huu wa Novemba mwaka huu katika moja ya ukumbi wa makao makuu ya Vodacom Tanzania yalilyopo Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Picture
Mkuu wa kitengo cha masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Kelvin Twissa akizungumza na waandishi wa Habari, wakati Gulio la mauzo ya bidhaa mbalimbali kwa bei nafuu kwa wateja wake iliyofanywa na kampuni hiyo katika viwanja vya makao makuu ya kampuni hiyo Mlimani city jijini Dar e s Salaam, ikiwa ni sehemu ya kutambua na kuthamini mchango kwa wateja wake


Ratiba ya Mtihani wa Kitaifa wa Kidato cha Nne, Novemba 2013

 

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA

NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL
Picture

REF.CSEE 2013

CERTIFICATE OF SECONDARY EDUCATION EXAMINATION NOVEMBER, 2013

TIMETABLE

(07th – 24th October, 2013 – 051/2 FOOD AND NUTRITION PRACTICAL)


DAY & DATE
MORNING SESSION (A.M.)
AFTERNOON SESSION (P.M.)
CODE NO.
SUBJECT
TIME
CODE NO.
SUBJECT
TIME
Monday
04/11/2013

013



Geography

8:00 – 11:00

022

English Language

2:00 – 5:00
Tuesday
05/11/2013

041

Basic Mathematics

8:00 – 11:00

021
Kiswahili

2:00 – 5:00
Wednesday
06/11/2013
011




Civics



8:00 – 10:30

012
071
083
097
History
Building Construction
Radio & TV Servicing
Mechanical Draughting
2:00 – 5:00
2:00 – 5:00
2:00 – 5:00
2:00 – 5:00
Thursday
07/11/2013
033/1

Biology 1

8:00 – 11:00
032/1
Chemistry 1
2:00 – 5:00
Friday
08/11/2013
033/2A
033/2

Biology 2A (Practical)

Biology 2 (Alt. to Practical)

8:00 – 10:30
8:00 – 10:30

062
072
082
086
Book Keeping
Architectural Draughting Electrical Eng. Science
Plant & Equip. Maintenance
2:00 – 5:00
2:00 – 5:00
2:00 – 5:00
2:00 – 5:00

Monday
11/11/2013
031/1
035
Physics 1
Engineering Science
8:00 – 11:00
8:00 – 11:00
014/1
015/1

Bible Knowledge 1
Elimu ya Dini ya Kiislamu1

2:00 – 4:30
2:00 – 4:00

Tuesday
12/11/2013
032/2A
032/2
Chemistry 2A (Practical)
Chemistry 2 (Alt. to Practical)
8:00 – 10:30
8:00 – 10:30
010
018/2
052/1
075
084
093


Qualifying Test
Physical Education 2
Textile & Dressmaking 1
Brickwork and Masonry
Electrical Draughting
Motor Vehicle Mechanics

2:00 – 5:00
2:00 – 4:30
2:00 – 5:00
2:00 – 5:00
2:00 – 5:00
2:00 – 5:00

Wednesday
13/11/2013
031/2A
031/2
076
092

Physics 2A (Practical)

Physics 2 (Alt. to Practical)

Painting & Signwriting
Workshop Technology
8:00 – 10:30
8:00 – 10:30
8:00 – 11:00
8:00 – 11:00
014/2
015/2

Bible Knowledge 2
Elimu ya Dini ya Kiislamu 2

2:00 – 4:30
2:00 – 4:30

Thursday
14/11/2013
033/2B
051/1
074
085

Biology 2B (Practical)

Food & Nutrition 1
Carpentry & Joinery Refrigeration & Air Conditioning
8:00 – 10:30
8:00 – 11:00
8:00 – 11:00
8:00 – 11:00


024
042
063

Literature in English
Additional Mathematics
Typewriting

2:00 – 4:30
2:00 – 5:00
2:00 – 4:00

Friday
15/11/2013

032/2B
017/1
077
096
Chemistry 2B (Practical)
Music 1
Plumbing
Auto Electrics
8:00 – 10:30
8:00 – 11:00
8:00 – 11:00
8:00 – 11:00

061
073
081
098


Commerce
Surveying
Electrical Installation
Foundry & B/Smith


2:00 – 4:30
2:00 – 5:00
2:00 – 5:00
2:00 – 5:00

Monday
18/11/2013
033/2C
017/2
095
Biology 2C (Practical)
Music 2
Fitting & Turning
8:00 – 10:30
8:00 – 10:00
8:00 – 11:00
016/1
025



Fine Art 1
Arabic Language

2:00 – 5:30
2:00 – 5:00



Tuesday
19/11/2013
018/1
031/2B
052/2

Physical Education 1
Physics 2B (Practical)
Textile & Dressmaking 2


8:00 – 10:30
8:00 – 10:30
8:00 – 11:00



036/1

094


Information & Computer Studies 1
Welding & Metal Fabrication

2:00 – 5:00

2:00 – 5:00


Wednesday
20/11/2013
032/2C
036/2
Chemistry 2C (Practical)
Information & Computer Studies 2 (Practical)
8:00 – 10:30
8:00 – 11:00
016/2
023
034/1

Fine Art 2
French Language
Agricultural Science 1
2:00 – 5:30
2:00 – 5:00
2:00 – 4:30

Thursday
21/11/2013
031/2C
034/2

Physics 2C (Practical) Agricultural Science 2 (Practical)

8:00 – 10:30
8:00 – 10:15








IMPORTANT:

  1. Attention is called to ‘Notice to Candidates’ overleaf.
  2. Where contradictions arise; the day, time and duration shown on the question paper should be adhered to.
  3. Examination will continue as scheduled even if it falls on a Public Holiday

NOTICE TO CANDIDATES

  1. You are required to appear for the examination(s) at the centre(s) under which you are registered unless otherwise advised by the Council in writing.
  2. You are required to observe all instructions given to you by the Supervisor, Invigilators or Officers of the Council responsible for the conduct of the examinations.
  3. If you arrive more than half an hour late for an examination, you will not be admitted.
  4. After the first half-hour, you may leave as soon as you have finished your paper and handed in the script to the Supervisor/Invigilator. You may leave the room temporarily at any time after the first half-hour but only with the permission of the invigilator.
  5. You may bring into the examination room only books, papers or instruments which are specifically permitted. If you are suspected of cheating or attempting to cheat, or assisting someone else to cheat, the facts will be reported to the Council. You may in consequence be disqualified from the examination and excluded from all future examinations of the Council. Any notes or other unauthorised material may be retained by the Council at its discretion.
  6. Communication, verbal or otherwise, between candidates is not allowed during the examination. If any candidate wishes to communicate with the invigilator he should raise his hand to attract attention.
  7. Write your examination number correctly on every answer sheet of the answer booklet/answer sheet used. Using anybody else’s examination number is considered a case of dishonesty that may lead to cancellation of examination results. Names, initials or any other mark that would identify a candidate should never be written on answer books or sheets of paper.
  8. If you are found guilty of dishonesty in connection with the examination you may be disqualified in the entire examination.
  9. Take nothing other than the question paper, unless instructed otherwise, from the examination room. Do not damage any paper or material supplied.
  10. Write all answers in the language required unless you are instructed otherwise.
  11. Write in blue or black ink or ball pen. Draw in pencil.
  12. You are required to attend punctually at the time shown on your timetable.
  13. Smoking is not permitted in the examination room.
  14. Private candidates should produce a letter of authority from the Council allowing them to sit for the particular examination at the prescribed centre, failure to that no permission will be given to enter the examination room.
  15. The examination will continue as scheduled even if it falls on a public holiday.

No matter how many legs Cow grows, Tanzania belongs in EAC;Jenerali Ulimwengu

Picture

Many people are wondering just what is happening in the East African Community, and, specifically, what Tanzania’s game plan could be.

Over the past year or so, we have witnessed the intensification of activities that have tended to point to the further weakening of this regional grouping that had previously shown signs of cohesion and vibrancy.

The centripetal forces currently in play stem from a failure of communication among the five member states, their inability to effect a meaningful conversation around what seem to be contentious issues. This situation seems to be escalating to the 

HATARI!! ANUSURIKA KIFO BAADA YA KUKUTWA UCHI

JESHI la Polisi wilayani Bunda, jana lililazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya wananchi wenye hasira kali waliotaka kumuua mwanamke mmoja mkazi wa mtaa wa Cha Nyerere katika mamalaka ya mji mdogo wa Bunda.
Mwenyekiti wa mtaa huo, Maxmilian Bwire, alisema kuwa tukio hilo lilitokea saa 10 usiku nyumbani kwa mwanamke huyo, Sarafina Nyamboko, maarufu kama mama Nyamboko.
Alisema kuwa siku ya tukio mama huyo alikutwa na mpangaji wake, Robert Msilimu, akiwa uchi wa mnyama na kopo tupu la amboni lita tano, lililodaiwa kuwa na dawa ambayo alikuwa ameimwaga katika kila mlango wa wapangaji wake.
“Baada ya kumhoji alisema alikuwa anawamwagia dawa ya baraka wapangaji wake kwani kila tarehe moja huwa anafanya hivyo ili waweze kupata baraka kwa Mwenyezi Mungu.
“Dawa hiyo inaonekana ilikuwa imechanganyikana na kinyesi maana mji mzima ulikuwa unanuka kinyesi,” alisema mpangaji huyo ambaye alimkuta mwenyenyumba wake akifanya mchezo huo.
Alifafanua kuwa kitendo hicho kilimshtua sana ndipo alipowaamsha wapangaji wenzake ambao waliamua kupiga yowe na majirani walifika na silaha mbalimbali za jadi na kuanza kumshambulia.
Alisema kwa kushirikiana na mwenyekiti wa mtaa huo, walipiga simu polisi ambao walikuja na baada ya kukuta hali ni mbaya, waliamua kutumia mabomu ya machozi ili kuwatawanya wananchi hao na kumchukua mama huyo kwenda naye kituo cha polisi.
Hata hivyo, baadhi ya majirani walidai kuwa hii ni mara ya tatu sasa kwa mama huyo kukutwa anafanya mchezo huo na kwamba hata kwenye mikutano ya hadhara ya mtaa huo, ameshaonywa mara kwa mara lakini alikuwa hajaacha.
Polisi walisema kuwa wanaendelea kumhoji kwa kina kuhusu kitendo hicho cha kukutwa uchi na pia kufahamu ukweli wa dawa hiyo aliyokutwa nayo.
Kama ikithibitika kuwa kuna kosa ndani yake watamfikisha kwenye mkondo wa sharia.

NI KWELI? HUKUMU YA MASOGANGE YAPINGWA


Stori: Makongoro Ogin’g         

MAKAMANDA wa vitengo vya kudhibiti madawa ya kulevya kwa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) wamemaliza kikao chao jana kujadili mustakabali wa uhalifu ikiwemo hukumu iliyotolewa kwa Mtanzania Agness Gerald ‘Masogange’ aliyekamatwa na malighafi haramu aina ya Ephedrine, Julai 5, 2013 nchini Afrika Kusini kwamba ni ndogo.........