Afisa Mawasiliano Habari(TCRA) Bi Mabel Masasi akifungua Mkutano ulioandaliwa na Mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA) uliofanyika jijini Dar es salaam katika ukumbi wa Mlimani City.http://nkema.blogspot.com/
Mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA) Profesa John Nkoma, akiongea na wamiliki wa mitandao ya kijamii (Bloggers) katika mkutano uliofanyika leo jijini Dar es Salaam.http://nkema.blogspot.com/
Engineer Andrew Kisaka kutoka Mamlaka ya mawasiliano Tanzania(TCRA) akiongea na wamiliki wa blogs katika hafla hiyo.
Mkurugenzi wa idara ya habari maelezo (TCRA) Assar Mwambene akichangia mada wakati wa mkutano huo uliojumuisha wamiliki wote nchi wa Blogs na TCRA, uliofanyika jijini Dar es salaam katika ukumbi wa Mlimani City.
Mmiliki wa blog Khadija Khariri akiuliza swali wakati wa mkutano wa Bloggers na TCRA uliofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City.http://nkema.blogspot.com/
Mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA) Profesa John Nkoma,akitoa nafasi ya maswali kwa wamiliki wa mitandao ya kijamii katika mkutano huo.
Jopo la wajumbe wa wamiliki wa mitandao ya kijamii(Bloggers) waliochaguliwa katika mkutano huo uliofanyika katika Ukumbi wa Mlimani city, jijini Dar es salaam.
Joackim Mushi mmiliki wa Blog achaguliwa kuwa M/kiti wa wamiliki wa Blogs nchini, katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Mlimani City,jijini Dar es Salaam.kushoto ni Katibu Khadija Khariri,Francis Godwin mwakilishi wa Kanda na Shamimu Mwasha Mjumbe.
Bw.Hubby Gunze Kutoka mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA) akitoa mwongozo kwa wamiliki wa blogs nchini katika Mkutano huo.
Baadhi ya wamiliki wa mitandao ya kijamii (Bloggers) wakisikiliza kwa makini maelekezo yaliyokuwa yakitolewa na Mkurugenzi mkuu(hayupo pichani) kuhusiana na mkutano huo.
Baadhi ya wamiliki wa mitandao ya kijamii (Bloggers) wakisikiliza katika hafla hiyo.
Bwana Hubby Gunze kutoka mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA) akiongea na wamiliki wa Blogs Tanzania katika mkutano uliofanyika jijini Dar es salaam.
Wamiliki wa mitandao ya kijamii(Bloggers) wakipata chakula cha mchana pamoja na wenyeji wao TCRA.
Na Getrude Edward.
Mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA) Profesa John Nkoma,amewahusia wamiliki wa mitandao ya kijamii Bloggers kutoandika habari zisizo na maadili pia kutojihusisha na uvunjifu wa Amani katika uchaguzi ujao wa Mwaka 2015,Pia amewaasa kuwa na umoja.http://nkema.blogspot.com/
No comments:
Post a Comment