Meneja Mkazi wa Oriflame Tanzania, Fortunata Nkya akifungua sherehe hiyo.
Wanachama wakiwemo wageni wakisikiliza kwa mkini jinsi Oriflem ilivyojipanga katika kusaidia jamii ikiwemo wanachama wake.
MD wa Oriflem Tanzania, Klas Kronass akizungumza na wageni pamoja na wanachama, alisema kuwa Oriflem Tanzania imefanya vizuri sana mwaka huu katika kazi zake na pia kuwapongeza wanachama kwa kufikia hatua ya pili Africa,
Balozi wa Oriflem Tanzania LadyJaydee akikabidhiwa maua na kisura wa Oriflem Africa ambaye pia ni kiongozi Jesca Nisege kwa kazi nzuri anayoifanya.
MD Klas Kronass akikabidhi hundi kwa Mwl wa fya wa Shule ya msingi Bugoyi "Mwl Stephani Nitaudimra" iliyopo Mkoani Shinyanga,
Balozi wa Oriflem Tanzania Lady jaydee akitoa shukurani kwa viongozi na wanachama.
Mwl Stephania Nitaudimara akitoa shukurani za dhati kwa Oriflem, lisema "Nawashukuru sana Oriflem kwa msaada huu mkubwa kwani tumekuwa na shida kubwa ya vyoo shuleni Bugoyi" Picha na matukio (www.nkema.blogspot.com)
No comments:
Post a Comment