ASILIMIA SABINI YA WAGONJWA WENYE EBOLA KUFARIKI DUNIA
Shirika la kuhudumia binadamu duniani (WHO) limesema maambukizi ya virusi hatari vya Ebola yaendelea kuwa tishio, Lasema kuwa kuna uwezekano wa kuongezeka na kufikia watu 10,000 ukiondoa 1000 wanaougua sasa.
No comments:
Post a Comment