Mstakihi Meya wa Manispaa ya Ilala, Ndugu Jerry Silaa hivi karibuni alipata fursa ya kuhudhuria mkutano wa Beijing International Conference on Learning Cities ambapo alipata nafasi ya kuzungumzia kampeni yake ya Mayor’s Ball ‘Dawati ni
Elimu’ kama mmoja wa watoa wa mada kwenye mkutano huo ulioratibiwa na shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na utamaduni (UNESCO).
Meya wa Manispaa ya Ilala, Ndugu Jerry Silaa akizungumzia kampeni yake ya Mayor’s Ball ‘Dawati ni Elimu katika mkutano wa kimataifa wa Beijing International Conference on Learning Cities ambapo alikuwa mmoja wa watoa mada.
Kutoka kushoto Mwezeshaji Mr Ahlin Jean-Marie, Meya Jerry Silaa, DRC Congo Waziri wa Elimu Mh, Therese Olenga Kalond, Meya Comlan Lome, Togo na Kamishina wa Elimu Farouk Iya Sambo Kano State Nigeria. Jukwaani Meya Haskins Nkaigwa Gaborone, Bostwana.
No comments:
Post a Comment